MAISHA YA WATANZANIA YAZIDI KUBORESHWA , TIGO WATOA PIKIPIKI NYINGINE PROMOSHENI YA WAJIFTISHE

Na Mwandishi Wetu.  Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tangu kuzinduliwa kwa kampeni  ya WAJIFTISHE GIFTI JUU YA GIFTI inayoendeshwa  na Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo Tanzania, Bibi  Frola Willison Rutabingwa ameibuka mshindi wa pikipiki aina ya Boxer kupitia KAMPENI YA TIGO “WAGIFTISHE  GIFT JUU YA GIFT” baada ya kununuliwa